INFO:
'AI sio akili bandia wala akili unde' Prof Palamagamba Kabudi, afafanua kuwa neno sahihi la 'artificial Intelligence' sio akili bandia au akili unde bali ni akili mnemba. Anahimiza BAKITA iwezeshwe ili iwe mstari wa mbele katika kutoa majina mapya ya sahihi katika lugha ya Kiswahili lakini je watanzania wanaufahamu kuhusu